Ezekieli 7:12 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 12 Wakati utakuja, siku hiyo itafika. Mnunuzi asishangilie, na muuzaji asiomboleze, kwa maana kuna ghadhabu dhidi ya umati wao wote.*+ Ezekieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 7:12 Mnara wa Mlinzi,9/15/1988, uku. 13
12 Wakati utakuja, siku hiyo itafika. Mnunuzi asishangilie, na muuzaji asiomboleze, kwa maana kuna ghadhabu dhidi ya umati wao wote.*+