-
Ezekieli 8:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Na katika mwaka wa sita, mwezi wa sita, siku ya tano ya mwezi huo, nilipokuwa nimeketi nyumbani mwangu na wazee wa Yuda walipokuwa wameketi mbele yangu, mkono wa Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova ulinishika nikiwa hapo.
-