-
Ezekieli 9:1Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kisha nikamsikia akisema hivi kwa sauti kubwa: “Waiteni wale watakaoliadhibu jiji hili, kila mmoja wao akiwa na silaha yake ya kuangamiza mkononi mwake!”
-