-
Ezekieli 9:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Nikaona wanaume sita wakija kutoka upande wa lango la juu+ linalotazama kaskazini, kila mmoja akiwa na silaha yake ya kuponda mkononi mwake; na kulikuwa na mwanamume mmoja kati yao aliyevaa kitani, akiwa na kidau cha wino cha mwandishi kiunoni,* nao wakaingia ndani na kusimama kando ya madhabahu ya shaba.+
-