-
Ezekieli 9:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Ndipo nikamwona yule mwanamume aliyevaa kitani, ambaye alikuwa na kidau cha wino kiunoni, akirudi na kuleta habari akisema: “Nimefanya kama ulivyoniamuru.”
-