-
Ezekieli 10:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Kisha akamwamuru hivi yule mwanamume aliyevaa kitani: “Chukua moto kutoka katikati ya magurudumu yanayozunguka, kutoka katikati ya makerubi,” naye akaingia na kusimama kando ya gurudumu.
-