-
Ezekieli 10:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Yaliposonga, yaliweza kwenda upande wowote kati ya zile pande nne bila kugeuka, kwa maana yalikuwa yakienda upande ambao kichwa kilitazama nayo yalienda bila kugeuka.
-