-
Ezekieli 12:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Nikafanya kama nilivyoamriwa. Nikaitoa mizigo yangu nje mchana kama mizigo ya kwenda uhamishoni, na jioni nikatoboa shimo ukutani kwa mkono. Na kulipokuwa na giza, nikachukua mizigo yangu, nikaibeba begani mbele ya macho yao.
-