-
Ezekieli 13:14Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
14 Nitaubomoa ukuta ambao mmeupiga lipu kwa chokaa na kuuangusha chini ardhini, na msingi wake utafunuliwa. Jiji litakapoanguka, mtaangamia ndani yake; nanyi mtalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova.’
-