-
Ezekieli 16:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Kuhusu kuzaliwa kwako, siku uliyozaliwa, kitovu chako hakikukatwa, hukuoshwa kwa maji uwe safi, hukusuguliwa kwa chumvi, wala hukufungwa kwa vitambaa.
-