-
Ezekieli 16:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Ulipokuwa ukitenda mambo yako yote yanayochukiza na matendo ya ukahaba, hukukumbuka siku za ujana wako ulipokuwa uchi, bila chochote, ukitupatupa mateke katika damu yako.
-