Ezekieli 20:8 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 8 “‘“Lakini wakaniasi nao hawakutaka kunisikiliza. Hawakuvitupa vitu vinavyochukiza vilivyokuwa mbele yao, nao walikataa kuziacha sanamu zinazochukiza za Misri.+ Basi nikaahidi kuwamwagia ghadhabu yangu na kuwaletea hasira yangu yote nchini Misri.
8 “‘“Lakini wakaniasi nao hawakutaka kunisikiliza. Hawakuvitupa vitu vinavyochukiza vilivyokuwa mbele yao, nao walikataa kuziacha sanamu zinazochukiza za Misri.+ Basi nikaahidi kuwamwagia ghadhabu yangu na kuwaletea hasira yangu yote nchini Misri.