Ezekieli 21:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Kwa kuwa nitamkatilia mbali kutoka kati yako mwadilifu na mwovu, upanga wangu utachomolewa kutoka katika ala yake dhidi ya wote wenye mwili,* kutoka kusini mpaka kaskazini. Ezekieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 21:4 Mnara wa Mlinzi,9/15/1988, uku. 19
4 Kwa kuwa nitamkatilia mbali kutoka kati yako mwadilifu na mwovu, upanga wangu utachomolewa kutoka katika ala yake dhidi ya wote wenye mwili,* kutoka kusini mpaka kaskazini.