Ezekieli 22:20 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 20 Kama watu wanavyokusanya fedha na shaba na chuma na risasi na bati katika tanuru ili kuyapulizia moto madini hayo na kuyayeyusha, ndivyo nitakavyowakusanya ninyi kwa hasira yangu na kwa ghadhabu yangu, nami nitawapuliza na kuwayeyusha.+ Ezekieli Mwongozo wa Utafiti wa Mashahidi wa Yehova—Toleo la 2019 22:20 Mnara wa Mlinzi,9/15/1988, uku. 20
20 Kama watu wanavyokusanya fedha na shaba na chuma na risasi na bati katika tanuru ili kuyapulizia moto madini hayo na kuyayeyusha, ndivyo nitakavyowakusanya ninyi kwa hasira yangu na kwa ghadhabu yangu, nami nitawapuliza na kuwayeyusha.+