-
Ezekieli 22:31Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
31 Basi nitawamwagia ghadhabu yangu na kuwaangamiza kabisa kwa moto wa ghadhabu yangu. Nitawaletea madhara ya njia yao juu ya kichwa chao wenyewe,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.”
-