Ezekieli 23:25 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 25 Nitakumwagia ghadhabu yangu, nao watakutendea kwa hasira kali. Watakata pua yako na masikio yako, na watu wako waliobaki watauawa kwa upanga. Watawachukua wana na mabinti zako, na watu wako wanaobaki watateketezwa kabisa kwa moto.+
25 Nitakumwagia ghadhabu yangu, nao watakutendea kwa hasira kali. Watakata pua yako na masikio yako, na watu wako waliobaki watauawa kwa upanga. Watawachukua wana na mabinti zako, na watu wako wanaobaki watateketezwa kabisa kwa moto.+