-
Ezekieli 23:42Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
42 Sauti ya umati wa watu waliostarehe ilisikika huko, na miongoni mwao kulikuwa na walevi walioletwa kutoka nyikani. Waliwavisha wanawake bangili kwenye mikono na mataji maridadi kwenye vichwa vyao.
-