-
Ezekieli 26:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Ataviangamiza kwa upanga vijiji vyako vilivyo mashambani, naye atajenga ukuta wa kuzingira na kujenga dhidi yako boma la kuzingira na kuinua ngao kubwa dhidi yako.
-