-
Ezekieli 27:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Wanaume wa Arvadi katika jeshi lako walisimama juu ya kuta zako pande zote,
Na wanaume jasiri walilinda minara yako.
Walitundika ngao zao za mviringo kuzunguka kuta zako
Nao wakaukamilisha urembo wako.
-