-
Ezekieli 28:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Nawe utasema, ‘Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova anasema hivi:
“Niko dhidi yako, Ee Sidoni, nami nitatukuzwa katikati yako;
Na watu watalazimika kujua kwamba mimi ni Yehova nitakapotekeleza hukumu dhidi yake na kutakaswa ndani yake.
-