-
Ezekieli 29:4Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
4 Lakini nitatia kulabu katika mataya yako na kufanya samaki wa mto wako Nile washikamane na magamba yako.
Nitakutoa katika mto wako Nile pamoja na samaki wa mto wako Nile wanaoshikamana na magamba yako.
-