Ezekieli 30:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Upanga utaishambulia Misri, na Ethiopia itakumbwa na hofu wakati waliouawa watakapoanguka huko Misri; Utajiri wake umechukuliwa na misingi yake imebomolewa kabisa.+
4 Upanga utaishambulia Misri, na Ethiopia itakumbwa na hofu wakati waliouawa watakapoanguka huko Misri; Utajiri wake umechukuliwa na misingi yake imebomolewa kabisa.+