-
Ezekieli 30:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Siku hiyo nitawatuma wajumbe katika meli ili kuifanya Ethiopia inayojitumaini itetemeke; watashikwa na hofu katika siku hiyo inayokuja dhidi ya Misri, kwa maana hakika itakuja.’
-