-
Ezekieli 31:6Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
6 Ndege wote wa angani walitengeneza viota kwenye vitawi vyake,
Wanyama wote wa mwituni walizaa chini ya matawi yake,
Na mataifa yote yenye watu wengi yaliishi chini ya kivuli chake.
-