14 Itakuwa hivyo ili mti wowote ulio karibu na maji usiwe mrefu sana au usiinue kilele chake mawinguni na kusiwe na mti ulionyweshwa maji mengi utakaofikia kimo chao. Kwa maana miti yote itatiwa mikononi mwa kifo, kwenye nchi iliyo chini, pamoja na wana wa binadamu, wanaoshuka shimoni.’