-
Ezekieli 31:18Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
18 “‘Ni mti gani katika Edeni uliofanana nawe kwa utukufu na ukuu?+ Lakini kwa hakika utashushwa pamoja na miti ya Edeni katika nchi iliyo chini. Utalala kati ya wale ambao hawajatahiriwa, pamoja na wale waliouawa kwa upanga. Itakuwa hivyo kwa Farao na umati wake wote,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.”
-