Ezekieli 32:4 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 4 Nitakuacha nchini; Nitakutupa uwanjani. Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako, Nami nitawashibisha wanyama wa mwituni wa dunia nzima kwa nyama yako.+
4 Nitakuacha nchini; Nitakutupa uwanjani. Nitawafanya ndege wote wa angani watue juu yako, Nami nitawashibisha wanyama wa mwituni wa dunia nzima kwa nyama yako.+