24 “‘Elamu+ yuko huko pamoja na umati wake wote kulizunguka kaburi lake, wote wakiwa wameuawa kwa upanga. Wameshuka chini bila kutahiriwa katika nchi iliyo chini, wale waliosababisha hofu katika nchi ya walio hai. Sasa watabeba aibu yao pamoja na wale wanaoshuka chini shimoni.