27 Je, hawatalala pamoja na mashujaa hodari waliouawa ambao hawajatahiriwa, ambao walishuka Kaburini wakiwa na silaha zao za vita? Nao wataweka panga zao chini ya vichwa vyao na dhambi zao kwenye mifupa yao, kwa sababu mashujaa hawa hodari walisababisha hofu katika nchi ya walio hai.