-
Ezekieli 33:32Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
32 Tazama! Kwao, wewe ni kama wimbo wa mapenzi, unaoimbwa kwa sauti tamu na kuchezwa kwa ustadi kwa kinanda. Watasikia maneno yako, lakini hakuna yeyote atakayeyatenda.
-