-
Ezekieli 35:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Nitaijaza milima yake watu waliouawa; na wale waliouawa kwa upanga wataanguka kwenye vilima vyako, katika mabonde yako, na katika vijito vyako vyote.
-