Ezekieli 36:18 Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya 18 Basi nikawamwagia ghadhabu yangu kwa sababu ya damu waliyoimwaga juu ya nchi+ na kwa sababu waliichafua nchi kwa sanamu zao zinazochukiza.*+
18 Basi nikawamwagia ghadhabu yangu kwa sababu ya damu waliyoimwaga juu ya nchi+ na kwa sababu waliichafua nchi kwa sanamu zao zinazochukiza.*+