-
Ezekieli 39:10Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
10 Hawatahitaji kukusanya kuni shambani wala kuokota kuni misituni, kwa sababu watatumia silaha hizo kuwasha mioto.’
“‘Watawateka nyara wale waliowateka nyara na kuwapora wale waliokuwa wakiwapora,’ asema Bwana Mwenye Enzi Kuu Yehova.
-