-
Ezekieli 40:9Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
9 Kisha akapima ukumbi wa lango, nao ulikuwa mikono minane; na akapima nguzo zake za pembeni, nazo zilikuwa mikono miwili; na ukumbi wa lango ulikuwa upande uliotazama ndani.
-