-
Ezekieli 40:27Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
27 Ua wa ndani ulikuwa na lango lililotazama upande wa kusini, akapima kuelekea kusini kutoka lango moja mpaka lingine, na urefu wake ulikuwa mikono 100.
-