-
Ezekieli 40:36Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
36 Vyumba vyake vya walinzi, nguzo zake za pembeni, na ukumbi wake ulikuwa sawa na malango mengine. Lango hilo lilikuwa na madirisha kila upande. Urefu wake ulikuwa mikono 50 na upana wa mikono 25.
-