-
Ezekieli 40:40Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
40 Kwenye njia inayopanda kuelekea katika lango la kaskazini, kulikuwa na meza mbili nje ya lango. Kulikuwa pia na meza mbili upande ule mwingine wa ukumbi wa lango.
-