44 Kulikuwa na vyumba vya kulia chakula vya waimbaji nje ya lango la ndani;+ vilikuwa katika ua wa ndani karibu na lango la kaskazini, vikitazama upande wa kusini. Kulikuwa na chumba kingine cha kulia chakula karibu na lango la mashariki, kilitazama kaskazini.