-
Ezekieli 41:2Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
2 Mlango ulikuwa na upana wa mikono kumi, na kuta za pembeni za mlango zilikuwa mikono mitano upande mmoja na mikono mitano upande wa pili. Akapima urefu wake, ambao ulikuwa mikono 40, na upana wake, mikono 20.
-