7 Pande zote mbili za hekalu zilikuwa na njia iliyopindapinda ambayo ilipanuka kadiri ilivyopanda kuelekea vyumba vya juu.+ Upana uliongezeka kutoka ghorofa moja hadi nyingine kadiri mtu alivyopanda kutoka ghorofa ya chini hadi ya juu akipitia ghorofa ya katikati.