-
Ezekieli 41:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Nikaona kwamba kulikuwa na jukwaa lililoinuliwa kuzunguka hekalu, na misingi ya vyumba vya kando ilikuwa na urefu wa utete mmoja wa mikono sita mpaka kwenye pembe.
-