-
Ezekieli 41:11Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
11 Kulikuwa na mlango kati ya vyumba vya kando na eneo lililo wazi lililokuwa upande wa kaskazini na mlango mwingine upande wa kusini. Upana wa eneo lililo wazi ulikuwa mikono mitano pande zote.
-