-
Ezekieli 41:12Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
12 Jengo lililokuwa magharibi likitazama eneo lililo wazi lilikuwa na upana wa mikono 70 na urefu wa mikono 90; ukuta wa jengo hilo ulikuwa na unene wa mikono mitano pande zote.
-