-
Ezekieli 41:20Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
20 Kuanzia sakafuni mpaka sehemu iliyo juu ya mlango kulikuwa na michongo ya makerubi na michongo ya mitende kwenye ukuta wa patakatifu.
-