-
Ezekieli 42:8Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
8 Kwa maana urefu wa vyumba vya kulia chakula vilivyotazama ua wa nje ulikuwa mikono 50, lakini vile vilivyotazama patakatifu vilikuwa na urefu wa mikono 100.
-