-
Ezekieli 44:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Mnapowaleta patakatifu pangu wageni ambao hawajatahiriwa moyoni na mwilini, wanalitia unajisi hekalu langu. Mnatoa mkate wangu, mafuta, na damu, huku agano langu likivunjwa kwa sababu ya matendo yenu yote yanayochukiza.
-