-
Ezekieli 45:3Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
3 Na kutoka katika kipimo hicho utapima urefu wa 25,000 na upana wa 10,000, na ndani yake kutakuwa na mahali patakatifu, kitu kitakatifu kabisa.
-