-
Ezekieli 45:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 “‘Na kwa ajili ya kiongozi kutakuwa na ardhi pande zote mbili za ule mchango mtakatifu na eneo lililogawiwa jiji. Itapakana na ule mchango mtakatifu na eneo la jiji. Itakuwa upande wa magharibi na upande wa mashariki. Urefu wake kuanzia mpaka wa magharibi hadi mpaka wa mashariki utakuwa sawa na mojawapo ya sehemu za makabila.+
-