-
Ezekieli 46:7Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
7 Atatoa toleo la nafaka la efa moja kwa ajili ya yule ng’ombe dume mchanga, na efa moja kwa ajili ya yule kondoo dume, na chochote anachoweza kutoa kwa ajili ya wale wanakondoo dume. Naye anapaswa kutoa hini moja ya mafuta kwa kila efa.
-