-
Ezekieli 47:22Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya
-
-
22 Mnapaswa kuigawa iwe urithi miongoni mwenu wenyewe na kuwagawia wageni wanaoishi pamoja nanyi ambao wamezaa watoto wakati wanaishi miongoni mwenu; nao watakuwa kwenu kama Waisraeli wenyeji. Watapokea urithi pamoja nanyi miongoni mwa makabila ya Israeli.
-